Tanzia: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa Mkoani Dodoma Afariki Katika Ajali Mbaya - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 15 April 2018

Tanzia: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa Mkoani Dodoma Afariki Katika Ajali Mbaya


Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa mkoani Dodoma, Mhandisi Ngusa Izengo amefariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta usiku wa kuamkia leo

Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu tukio hili.

No comments:

Post a Comment