Taarifa Muhimu Toka Makao ya Jeshi- JWTZ - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 16 April 2018

Taarifa Muhimu Toka Makao ya Jeshi- JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akimvisha cheo Luteni Jenerali Paul Massao baada ya kupandishwa cheo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika hafla iliofanyika leo tarehe 16 April, 2018 Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment