Rais Magufuli Ateuwa Watu 10 - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 April 2018

Rais Magufuli Ateuwa Watu 10

Rais Magufuli Ateuwa Watu 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 18, 2018 ameteuwa watu kumi kushika nafasi mbalimbali akiwepo Prof. Idris Suleiman Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Kikula umeanza April 17, 2018
 

No comments:

Post a Comment