POGBA KUONDOKA OLD TRAFFORD - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 18 April 2018

POGBA KUONDOKA OLD TRAFFORD


MENEJA wa Manchester United, Jose Mourinho, yuko tayari kumwacha kiungo wa kati aliyenunuliwa kwa kitita cha pauni milioni 89, Paul Pogba (25), kuondoka klabu hiyo hata mwishoni mwa msimu huu.
Mourinho pia amewafungulia milango mshambuliaji, Anthony Martial (22), beki wa Uholanzi, Daley Blind (28), huku beki wa Italia, Matteo Darmian akitarajiwa kuuzwa pia.
Mourinho anatajwa kuwa na uhusiano mbaya na Mfaransa huyo huku kiwango cha nyota huyo kikiwa hakitabiriki.(Mail).

No comments:

Post a Comment