Picha:Athari ya mvua Mwanakwerekwe Raia wahama na barabara kufunga Tazama - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 17 April 2018

Picha:Athari ya mvua Mwanakwerekwe Raia wahama na barabara kufunga Tazama
Mvua iliyonyesha kwa takribani siku 3 mfululizo imeanza kuonesha athari zake kufuatia maeneo mbalimbali ya mkoa wa mjini magharibi kufurika maji ikiwemo Mwanakwerekwe ambapo maji mengi yamefurika na kuvunja mawasiliano ya barabara ya mwanakwerekwe Fuoni.

No comments:

Post a Comment