Picha , ziara ya Balozi Seif kisiwani Pemba - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 April 2018

Picha , ziara ya Balozi Seif kisiwani Pemba


MAKAMU wa Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akielezea azma ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, juu ya ujenzi wa barabara, mara baada ya kupokea taarifa ya ujenzi wa barabara ya Kuyuni-Ngomeni yenye urefu wa kilimita 3.3, mara baada ya kuikagua barabara hiyo, ikiwa ni sehemu ya ziara yake kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor).
MAKAMU wa Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, alipokuwa akitembea ili kukigayua kituo cha Afya cha kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor).
MAKAMU wa Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akielezea azma ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, juu ya kuongeza bajeti kuu ya wizara ya Afya kwa mwaka ujao wa fedha, mbele ya Afisa Mdhamini wizara ya Afya Pemba Shadya Shaaban Seif, mara baada ya kukikagau kituo cha Afya cha Ngomeni, shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake,  (Picha na Haji Nassor).

No comments:

Post a Comment