Picha: Rais Magufuli akutana na ugeni mzito kutoka Misri na Umoja wa Afrika - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 20 April 2018

Picha: Rais Magufuli akutana na ugeni mzito kutoka Misri na Umoja wa Afrika


Leo April 20 rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na wageni kutoka Umoja wa Afrika (AU) pamoja na Misri Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wageni hao amabo amekutana na rais Magufuli ni Ibrahim Mahlab ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa Misri lakini kwa sasa ni mshauri wa rais wa nchi hiyo na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui.
Rais Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui.

No comments:

Post a Comment