Picha: Mwili wa Masogange ukitolewa Muhimbili na kupelekwa Leaders kwa kuagwa - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 22 April 2018

Picha: Mwili wa Masogange ukitolewa Muhimbili na kupelekwa Leaders kwa kuagwa


Mwili wa msanii Masogane tayari umekwisha tolewa katika hospitali ya Muhimbili tayari kwa kuanza safari ya kuelekea katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni kwa ajili ya misa ya kuaga mwili huo na rasmi kuusafirisha jijini Mbeya ambapo atapumzishwa katika nyumba yake ya milele. 

No comments:

Post a Comment