Mrisho Mpoto awaliza Watanzania waliofika Leaders kuuaga mwili wa Masogange (+video) - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 22 April 2018

Mrisho Mpoto awaliza Watanzania waliofika Leaders kuuaga mwili wa Masogange (+video)

Mashairi ya Msanii wa Muziki wa asili, Mrisho Mpoto yamewatoa machozi mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam ambao leo Aprili 22, 2018 walikusanyika kwenye shughuli ya kuuaga mwili wa Agness Gerald Masogange katika viwanja vya Leaders tayari kwa kuusafirisha mwili huo kwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi.

No comments:

Post a Comment