Mfalme Mswati wa Swaziland Abadili Jina la Nchi yake - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 April 2018

Mfalme Mswati wa Swaziland Abadili Jina la Nchi yake


SWAZILAND: Mfalme Mswati wa III amebadili jina la nchi hiyo kutoka Swaziland kuwa eSwatini wakati wa sherehe za miaka 50 ya utawala wa kifalme wa nchi huo na miaka 50 ya uhuru
-
eSwatini ndio nchi pekee ya Kifalme duniani ambayo Mfalme ana mamlaka kamili katika nyanja zote za kiutawala
-
Mfalme Mswati III kwa sasa ana wake 15 akiwa anaifuata rekodi ya Baba yake aliyekuwa na wake 125

No comments:

Post a Comment