Mashabiki Wamshambulia Daimond Kisa Mobetto "Huu ni Udhalilishaji kwa Wanawake" - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 16 April 2018

Mashabiki Wamshambulia Daimond Kisa Mobetto "Huu ni Udhalilishaji kwa Wanawake"

Mashabiki Wamshambulia Daimond Kisa Mobetto "Huu ni Udhalilishaji kwa Wanawake"
Kwa watu wanaotumia mitandaoni ya kijamii husasani Snapchat na Instagram kwa siku ya jana kulikuwa na video mbili zinasambaa za msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa na Mzazi mwenzake Hamissa Mobetto na nyingine akiwa na mwanamke mmoja mwenye asili ya Kihindi akimtomasa tomasa.


Video hizo zilizua gumzo kwa usiku wa jana kwenye mitandao ya kijamii wengi wakitafsiri kama kitendo cha udhalilishaji kwa wanawake hususani kwa mtu mwenye jina kubwa kama Diamond Platnumz.

Hata hivyo, wapo baadhi ya mashabiki wake ambao wameona kitendo hicho ni cha kawaida na wengine wamesema hawapo kufuatilia mambo yake binafsi bali wanafuatilia muziki wake tu. Soma baadhi ya maoni ya wadau na mashabiki wake kwenye posti zake za mitandao ya kijamii (Instagram na Twitter)

.amydah_ Mwenyezi mungu akulaani diamond…. We so wakufanya upuuzi huo kumuumiza alikufanya uitwe baba.. Ila wewe IPO siku mungu yupo

christiangeorge8521Watu wakipata pesa wanaona ndo wamaliza kila kitu like u dai unaniboa some time
zarilamonade@officialbelaire we won’t be buying ur drinks ….untill ur ambassador learn to respect womens and society in general @diamondplatnumz
jewels_inkZari out there winning. Now ppl can stop abusing her because you have shown us that you are a fool together with that stupid girlfriend of yours hamisa.
bree_heavens_brixy@mama_dangoteplease talk to ur son .He needs urgent and serious help .Who does that ..i mean who does that .His Career is bound to fail in disguise.@diamondplatnumz seems u have forgotten ur a father .Be a man
trevorkushyYooh @diamondplatnumz you the Champ, these women are gold diggers. So the only solution is to dig them too and fu***ng expose them. They will learn their lessons. You the Man Simba.
sklynahHivi ndo vya kupost sasa then unapoteza Mashabiki kwa ujinga uso na maana anayekupenda atakwambia ukweli daima kaka ukiendelea hivi naliona kaburi lako la mziki kabisa am ur die hard fun to the point nilikuwa nagombana na Mamangu ila kwa hili la leo you broke my hear.
https://twitter.com/HamisiBwashe/status/985813355792347136
johnjohn4884Umesahau kama wewe ni kioo cha jamii,tujifunze nini kutoka kwako?
angiekilonzoPride comes before a fall, heshima hauna kwa wakubwa na wadogo, you don’t even respect your parents n children remember Internet never forgets!! @diamondplatnumz controversials and everything going around the Internet is a biggest enemy of fame. but you know what fame is all about? It’s like a balloon n before the thrust or burst you know what happens soon you’ll be zilipendwa, believe it or not you can’t do without fun base,any mature person in his/her right mind knows that what you showed the whole world yesternight was a crap, you wanna prove yourself a man enough to have threesome hadharani??? Boy think n think @zarithebosslady will always earn her respect she’s a woman of substance, soon or later we will revisit this when your fame is all eroded.
trapsinI dont get this people what did he do thats against the maral code they were not naked they were in bed playing what is wrong with people has kissing become a taboo now why do you want someone to live his life in the ways that only impress you at aaaaaiiih u dont get it whats all this negativity all about
joxygambiaaaah diamond unazingua sana sasa ndio ume Fanya nini hicho lakini kumbuka unatukwaza sisi mashabiki zako.try to change hata kama ww ni star nakubali sana platnumz.
Hata hivyo, Diamond kupitia posti yake ya kwanza kwenye mtandao wa Instagram baada ya video hizo kusambaa mtandaoni ameandika “Shikamoo Belaire” kitu ambacho watu wametafsiri kuwa huenda alikuwa amelewa kipindi video hizo zinarekodiwa.

Ikumbukwe pia Diamond ni balozi wa vinywaji vikali (pombe) aina ya Belaire dili ambalo alisaini mwishoni mwa mwaka jana. 

No comments:

Post a Comment