Mange Amvaa Jokate Baada Ya Ali Kiba Kuoa Mwanamke Mwingine - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 April 2018

Mange Amvaa Jokate Baada Ya Ali Kiba Kuoa Mwanamke Mwingine

Mwanaharakati wa siasa Mtandaoni Mange Kimambi amemvaa Jokate na kumtolea povu zito baada ya aliyekuwa mpenzi wake staa wa Bongo fleva Ali Kiba kuoa mwanamke mwingine.

Asubuhi ya Leo Ali Kiba Kamuoa mke wake Amina huko Mombasa nchini Kenya lakini Ex wake Jokate anashika headlines ambapo Mange amemjia juu Jokate huku akimcheka kuhusu hilo.

Mange amekuwa akiipinga ndoa hii kufanyika hivi sasa kwa hofu ya kwamba itazima haraka  zake Lakini pia amekuwa katika vita na Jokate kutokana na Jokate kuwa chama tawala na alikuwa kiongozi.

Mange amemtolea povu zito Jokate huku akihusisha ndoa ya Ali Kiba ambapo kwenye ukurasa wa Instagram wa Jokate aliandika maneno haya:

No comments:

Post a Comment