Manara asimulia alivyokutana na Masogange Afrika Kusini, Akiri kuwa anadaiwa (+video) - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 22 April 2018

Manara asimulia alivyokutana na Masogange Afrika Kusini, Akiri kuwa anadaiwa (+video)


Msemaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesimulia mara yake ya kwanza kukutana na marehemu Agness Masogange nchini Afrika Kusini ambapo amesema kuwa licha ya kukutana naye aliweza kubadilishana namba za simu. ambapo amekiri kuwa Masogange alikuwa anahitaji jezi ya Simba ili aweze kuivaa kwenye mchezo wa Simba na Yanga unaotarajiwa kufanyika wikiendi ijayo.

Manara amesema hayo leo Aprili 22, 2018 kwenye tukio la kuuaga mwili wa Agness Masogange katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment