KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA TAHADHARI KWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU. - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 21 April 2018

KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA TAHADHARI KWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.


KAIMU Mkurugenzi Kinga Dkt Moh’d Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari juu ya mripuko wa Kipindupindu na kuwataka Wananchi kuchukua tahadhari kabla hayajajitokeza maradhi hayo.
MWANDISHI wa habari Gazeti la Daly news Issa Yusuf akiuliza masuala katika mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
MWANDISHI wa Star TV Abdalla Pandu akiuliza masuala katika mkutano huo (Picha na Abdalla Omar  Maelezo – Zanzibar).

Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment