Kimenuka Tena: Diamond na Nandy Waitwa TCRA Kuhojiwa - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 April 2018

Kimenuka Tena: Diamond na Nandy Waitwa TCRA Kuhojiwa

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na  msanii Faustina Charles ‘Nandy’ leo wamefika Mamlaka ya Mawasiliano kuhojiwa kuhusu video zao za chumbani zilizosambaa kwenye mitandao.

Wasanii hao walishakamatwa na kuhojiwa na polisi lakini wakaachiwa kwa dhamana.

 VIDEO: 

No comments:

Post a Comment