JESHI LA POLISI TANZAMIA LA TAMGAZA NAFASI ZA AJIRA - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 17 April 2018

JESHI LA POLISI TANZAMIA LA TAMGAZA NAFASI ZA AJIRA

Jeshi la Polisi nchini linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.

No comments:

Post a Comment