JB aeleza namna kamari ilivyomfilisi “sikupanga kuingia kwenye filamu” (Video) - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 15 April 2018

JB aeleza namna kamari ilivyomfilisi “sikupanga kuingia kwenye filamu” (Video)

Msanii wa filamu Jacob Stephan aka JB amefunguka kueleza sababu ya biashara yake ya mahindi kufa na kuanza kutangatanga mtaani kutafuta kazi ya kufanya. Mwigizaji huyo ameyasema hayo Jumamosi hii katika tamasha la Amka Kijana lililokuwa na lengo la kuwatoa vijana vijeweni na waende kufanya kazi.

No comments:

Post a Comment