Ibrahimovic azidi kung’ara Marekani - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 16 April 2018

Ibrahimovic azidi kung’ara Marekani


MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic ameifungia bao timu yake mpya  LA Galaxy dhidi ya Chicago ligi kuu ya Marekani.
Mkongwe huyo kutoka  Sweden aliungana na mchezaji mwengine wa zamani wa timu hiyo Bastian Schweinsteiger, na alifunga bao hilo kwa kichwa kipokea krosi ya Ashley Cole.
Tayari mchezaji huyo atakuwa ameifungia mabao matatutimu yake tangu alipojiunga nayo kutoka United.

No comments:

Post a Comment