ALIKIBA NA MKEWE WALIVYOVALISHANA PETE ZA NDOA - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 April 2018

ALIKIBA NA MKEWE WALIVYOVALISHANA PETE ZA NDOA

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wamevalishana pete za ndoa katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena uliyopo Posta jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya harusi yao usiku huu wa Aprili 29, 2018.
Wawili hao walifunga ndoa Mjiniu Mombaasa wiki mbili zilizopita ambapo sheree upande wa mwanamke ilifantika huko.
Leo wawili hao wanakamilisha sherehe ya harusi yao kwa upande wa mwanamme ‘Alikiba’ ambapo pia mdogo wake, Abdu Kiba leo naye anafanya harusi pamoja na kaka yake huyo kwa pamoja.
Picha na Azam TV.

No comments:

Post a Comment