ABDU KIBA NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 April 2018

ABDU KIBA NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI

MKALI wa Bongo Fleva, Abdu Kiba na mkewe, Ruwayda tayari wameshaingia katika Ukumbi wa Serena Hotel uliyopo Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusherehekea harusi yao usiku huu.
Katika sherehe hizo ambazo pia zinahusisha harusi ya Alikiba na mkewe, Amina imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Naibu Waziri wa Kazi, Anthony Mavunde.
Tazama picha hizi.
Picha na Azam TV.

No comments:

Post a Comment